Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya vodacom Tanzania the young africans"YANGA" wameendeleza kugawa kichapo cha mabao ya mbili bila kwa wakulima wa miwa wajulikanao kama MTIBWA SUGAR katika uwanja wa taifa jijini dar es salam,kwa ushindi huo sasa YANGA wapo nafasi ya pili,magori hayo yalifungwa na wachezaji Mrisho Ngasa pamoja na Didier Kavumbagu.

No comments:
Post a Comment